JAPANESE USED CARS
JDM CARS EXPORTER

Mon - Fri:9:00-21:00
Saturday:9:00-18:00
Tel: +81-3-5245-7735
Today's rate:

 • Safe Trade is a secure payment system offered by JUMVEA.

 • CREATE YOUR ACCOUNT

  Joint as JPCTRADE member to access Japanese car auctions and enjoy privileges

 • CREATE YOUR ACCOUNT

  Joint as JPCTRADE member to access Japanese car auctions and enjoy privileges

 • CREATE YOUR ACCOUNT

  Joint as JPCTRADE member to access Japanese car auctions and enjoy privileges

SEARCH FOR JAPANESE USED CAR

Latest stock of Japanese used cars


See more

Japanese Used Cars by Maker

 • toyota
 • nissan
 • mazda
 • honda
 • daihatsu
 • suzuki
 • mitsubishi
 • subaru

JPC TRADE WAUZAJI WA MAGARI KANDA YA AFRICA.

Karibu kwenye soko kuu la kununua magari Japani lilioko kwenye tovuti hii (www.jpctrade.com). JPC Trade Ni kampuni yenye watalamu wa kuchagua na kununua magari yaliyo tumika Japani, kampuni yetu iko katikati ya mji wa Tokyo.
Sisi husaidia wateja kununua magari ya hali ya juu kutoka Japani mnadani kutokana na maagizo ya mnunuzi kwa bei nafuu na kufuatana na bajeti yake.
Kama wewe ni muuzaji wa magari ama wataka kuagizia gari kutoka Japani, tafadhali jiandikishe kwenye tovuti yetu bure, ili uwe na akaunti na sisi. Hii itakupa nafasi nzuri ya kutazama na kujichagulia magari yaliyo tumika kutoka minada ya Japani. Kila gari huwa na mealezo yanayo elezea kwa kina ubora au shida za gari utakayochagua ili ujiamulie ukiwa na taarifa timilifu. Wauzaji wetu watakupa usaidizi utakaohitaji kutoka mwanzo hadi mwisho wa uamuzi wako na ununuzi wa magari kutoka Japani. Wenzetu walio na utalamu wa usafiri wa majini wata hakikisha gari lako lime wasili bandarini haraka na salama salmin.
JPC Trade Wauzaji wa magari kanda ya Africa.